Tafuta

Wednesday, July 6, 2011

SHAROBARO 4 LIFE STYLE

Jamani karibuni tule.........!

Huyu ni Baba yangu mdogo G LOVER

Mimi, Gelly na Hemmedy

Thursday, February 10, 2011

PRESIDENT KUDONDOSHA ALBUM WAKATI WOWOTE...!

Rais wa watanashati hivi karibuni ataachia album yake sokoni so kama wewe ni mpenzi wa chocolate fleva kaa mkao wakula......!

Wednesday, February 9, 2011

ALLY KIBA KUJA NA VIDEO MPYA!!

Kijana wa kisharobaro Ally Kiba majuzi alikuwa anashoot video yake mpya na kampuni ya GRM huko kijijini, wimbo huo unaitwa dushelele  kaa tayari kwa hiyo ngoma

MO RACKA AIPONGEZA SHAROBARO

Msanii Mo Racka ameipongeza Sharobaro Recordz chini ya uongozi wake Mr. Chocolate, juu ya kuanzisha blog na mavazi yake na kusema ni hatua kubwa inayotakiwa kuungwa mkono na wasanii na lebo zote za muziki hapa nchini...

KARIBU SHAROBARO RECORD'Z

Mabibi na mabwana hapa ndo zilipo studio za sharobaro maeneo ya magomeni mapipa.... so kama unahisi unaweza kufanya kazi na sisi karibu sana........
Kwa ndani studio inaonekana hivi…………., kama unavyomuona mr. chocolate akiwa kazini kama producer na sio msanii tena…. Mwenyewe anakwambia hapa ni kazi tu hakuna kuremba aisee karibuni wooooote..!

Hapa ndo studio kwenyewe sasa ambapo ngoma kali huwa zinatengenezwa ngoma za ki-chocolate flevaaaaaaa……..!

Ukija sharobaro ukasikia meneja wala usishtukeaise huyu hayu hapa anitwa lilo boy au malilo……!

Ukisha ingia ndani ya geti ukiwa unaelekea studio unaona mazingiza ya namna hii so usiogope coz ma sharobaro huwa hatuogopi ukiogopa we utakuwa si sharobaro labda utakuwa sharo uharooo… ha ha ha …….!



Hii ni graphic ambaYo ipo kwa nje opposite na ilipo studio ya sharobaro ambapo ma sharobaro tukisha nyuka huwa tunapenda kupoa na kubadilisha ideas mbalimbali za kimuziki na ki maisha………….!
Hivi ndivyo inavyooneka studio ya sharobaro kwa nje ukiwa unafika

SHAROBARO OFFICIAL WEAR !!!

Ndugu wapenzi wa Sharobaro crew, naomba mkae tayari kwani Sharobaro inawaletea mavazi ya kishow B sha B kwa ajili ya wajanja wote hapa mjini, na kwa kuanza tunawaletea T shirt, Body tyt na mashati bila kusahau tops kwa ajili ya kina dada, mavazi hayoa yataanza kupatikana kuanzia wiki ijayo katika maduka mbalimbali ya hapa town likiwemo Robby one fashion, na mengine tutayatangaza wiki ijayo. na wale watu walioomba special order wawasiliane na Marketing manager wa Sharobaro (Mwiju) kwa no. 0714 665689

MR. CHOCOLATE KUINGIZA ALBUM SOKONI....!

Hii i official news kutoka katika uongozi wa Sharobaro kuwa, albam ya Rais wa Masharobaro Bob Junior au Mr. Chocolate fleva iko katika hatua za mwisho kuingia sokoni na kwa kuanza tu ataachia ngoma nyikine ambayo jina lake liko kapuni....ngoma hii itakuwa ikiifuatia ngoma ya oyoo yoo... ambayo hadi hivi sasa iko inafanya poa katika radio na tv mbalmbali nchini na nje ya nchi.! so wapenzi wote wa chocolate fleva kaeni tayari kwani mzigo mwingine unakuja.....!

Friday, January 21, 2011

THE SHAROBARO MUSIC BASE

NIAJE WANA....???????? NDIVYO ASEMAVYO MR. CHOCOLATE FLEVA, HAPA AKIWA NA MDOGO WAKE!..

HICHI NDO KIJIWE CHA SHAROBARO AMBACHO WANA HUWA TUNAKAA NA KUBADILISHANA MAWAZO...!

HII NDO OFFICIAL BANNER AMBAYO IKO KATIKA MATENGENEZO ITAANZA KUTUMIKA HIVI KARIBUNI....!

MSHKAJI ANAKWENDA KWA JINA LA JUMA...NI MSANII MPYA CHINI YA LEBO YA SHAROBARO, UMEONA BANA!......!

PETER MSECHU MSHINDI WA PILI KATIKA MASHINDANO YA TUSKER PROJECT FAME, NI MMOJA YA MARAFIKI  WA STUDIO YA SHAROBARO .

Monday, January 17, 2011

HEY MR PREZIDENT....

KUSHOTO NI MH RAISI WA MASHAROBARO..ENDELEA KUSIKILIZIA UJIO WA SHAROBARO REC...

HELLOW...!

Mwiju akiwa na Bella na Precious wasanii wakali wa muziki huu..

Hapa ni zile pozi kali kabisa za 2011