Tafuta

Wednesday, February 9, 2011

KARIBU SHAROBARO RECORD'Z

Mabibi na mabwana hapa ndo zilipo studio za sharobaro maeneo ya magomeni mapipa.... so kama unahisi unaweza kufanya kazi na sisi karibu sana........
Kwa ndani studio inaonekana hivi…………., kama unavyomuona mr. chocolate akiwa kazini kama producer na sio msanii tena…. Mwenyewe anakwambia hapa ni kazi tu hakuna kuremba aisee karibuni wooooote..!

Hapa ndo studio kwenyewe sasa ambapo ngoma kali huwa zinatengenezwa ngoma za ki-chocolate flevaaaaaaa……..!

Ukija sharobaro ukasikia meneja wala usishtukeaise huyu hayu hapa anitwa lilo boy au malilo……!

Ukisha ingia ndani ya geti ukiwa unaelekea studio unaona mazingiza ya namna hii so usiogope coz ma sharobaro huwa hatuogopi ukiogopa we utakuwa si sharobaro labda utakuwa sharo uharooo… ha ha ha …….!



Hii ni graphic ambaYo ipo kwa nje opposite na ilipo studio ya sharobaro ambapo ma sharobaro tukisha nyuka huwa tunapenda kupoa na kubadilisha ideas mbalimbali za kimuziki na ki maisha………….!
Hivi ndivyo inavyooneka studio ya sharobaro kwa nje ukiwa unafika

2 comments:

  1. safi mwana sharobaroooooo ni noma
    ful bling bling utanashati ahh ahh usiseme man big up na mi sharo platinum najipa

    ReplyDelete
  2. Keep up the good work. Would like to discuss some projects with you when you have the time. Justin 'DJ Burundi'. djburundi@gmail.com

    ReplyDelete