Ndugu wapenzi wa Sharobaro crew, naomba mkae tayari kwani Sharobaro inawaletea mavazi ya kishow B sha B kwa ajili ya wajanja wote hapa mjini, na kwa kuanza tunawaletea T shirt, Body tyt na mashati bila kusahau tops kwa ajili ya kina dada, mavazi hayoa yataanza kupatikana kuanzia wiki ijayo katika maduka mbalimbali ya hapa town likiwemo Robby one fashion, na mengine tutayatangaza wiki ijayo. na wale watu walioomba special order wawasiliane na Marketing manager wa Sharobaro (Mwiju) kwa no. 0714 665689
No comments:
Post a Comment