Hii i official news kutoka katika uongozi wa Sharobaro kuwa, albam ya Rais wa Masharobaro Bob Junior au Mr. Chocolate fleva iko katika hatua za mwisho kuingia sokoni na kwa kuanza tu ataachia ngoma nyikine ambayo jina lake liko kapuni....ngoma hii itakuwa ikiifuatia ngoma ya oyoo yoo... ambayo hadi hivi sasa iko inafanya poa katika radio na tv mbalmbali nchini na nje ya nchi.! so wapenzi wote wa chocolate fleva kaeni tayari kwani mzigo mwingine unakuja.....!
No comments:
Post a Comment